watermark logo

Mfahamu Zaidi Msanii VALEE WELE aliyoimba TEA na Sitokuacha

16 Tampilan· 02/23/20
Aryel Narvasa
Aryel Narvasa
Pelanggan
0
Di Musik

THE PLAYLIST ni Show kali ya weekend inayowashusha mastaa kibao ndani ya Studio za 100.5 TimesFM kuchagua ngoma 5 kali wanazopenda na kupiga interview kuhusu Music, Fashion & LifeStyle.

Show inaruka kila Jumamosi, Saa 6 - 8 Mchana kupitia frequency 100.5 Times FM chini ya Presenter Mkali, the Baddest boi, Lil Ommy.

Subscribe, Watch, Share.

Menampilkan lebih banyak

 0 Komentar sort   Sortir dengan